
NAFASI Za Kazi Malinyi District Council
NAFASI Za Kazi Malinyi District Council
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi amepokea kibali cha Ajira mpya kwa ikama ya mwaka 2024/2025 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye
Kumb.Na.FA.97/288/01/A/25 cha tarehe 29/04/2025.
Hivyo watanzania wote wenye sifa
wanatangaziwa kutuma maombi ya kazi kwa nafasi zifuatazo kwenye PDF hapa chini.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!