Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Fursa Mpya za Ajira Usichelewe! Bank Teller 13 na Supervisor 7 Wanahitajika

  • 66
Scroll Down To Discover

 A

Unatafuta kazi au unamjua anayehitaji ajira? Hii ni nafasi yako ya kuanza safari mpya ya mafanikio!

🏦 JOB JUNCTION TANZANIA wanatafuta watu makini kujiunga na timu yao:

🏦 BANK TELLER (13)

✅ Ujuzi wa kutumia Bank Software
✅ Ufahamu mzuri wa Kompyuta
✅ Mawasiliano mazuri
✅ Muonekano nadhifu + huduma bora kwa wateja

👔SUPERVISOR (7)

✅ Uzoefu wa Management
✅ Uongozi thabiti
✅ Smart & mwenye kujiamini
✅ Huduma bora kwa wateja
✅ Mawasiliano mazuri

📲 Tuma maombi yako moja kwa moja WhatsApp:
0656116023

⚡ Usikose nafasi – Ajira ni chache, omba mapema!

The post Fursa Mpya za Ajira Usichelewe! Bank Teller 13 na Supervisor 7 Wanahitajika appeared first on Global Publishers.



Prev Post Polisi Wakanusha Taarifa za Kutekwa kwa Mchungaji Yanick Mbombo
Next Post PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO FEBRUARI 24, 2026
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook