Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Waziri Mkuu Majaliwa Ashiriki GRUMA 2025, Ataka Mbio Hizo Ziwe za Kimataifa

  • 39
Scroll Down To Discover

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Julai 05, 2025 ameshiriki katika mbio za Great Ruaha Marathon (GRUMA 2025) zilizoanzia na kuishia kwenye eneo la Ibuguziwa, ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, mkoani Iringa

Akizungumza katika tukio hilo, Majaliwa ameto wito kwa waratibu wa mbio hizo kuweka mikakati ya kuzifanya ziwe za kimataifa ili ziweze kukutanisha raia wa mataifa mbalimbali duniani.

Lengo la Mbio hizo ni kuhamasisha uhifadhi wa mazingira wa Mto Ruaha Mkuu ambao ni uti wa mgongo wa Hifadhi ya Taifa ya Ruaha na kuifanya jamii kuona umuhimu wa kulinda vyanzo vya maji na kuhimiza matumizi endelevu ya rasilimali za asili. 



Prev Post Cheza LOOT Legends Kutoka Meridianbet Uibuke Bingwa
Next Post PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO JULAI 06, 2025
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook