Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Shinda Simu Mpya Kabisa ya Samsung Galaxy A25 Mwezi Huu wa Julai na Meridianbet

  • 50
Scroll Down To Discover

Je, uko tayari kwa Julai ya kusisimua iliyojaa burudani na zawadi kemkem? Meridianbet inakuletea sababu ya kubashiri mwezi huu kupitia promosheni kabambe. Kuanzia Julai 1 hadi Julai 31, 2025, watumiaji wote walio jisajili kupitia tovuti au app ya simu ya meridianbet wanayo nafasi ya kuingia kwenye droo na kushinda moja kati ya simu tano mpya kabisa aina ya Samsung Galaxy A25.

Haijalishi kama wewe ni shabiki wa kubeti michezo au unapenda michezo ya kasino, promosheni hii imeletwa mahsusi kwa ajili yako. Unachotakiwa kufanya ni kuweka dau na kucheza, ndiyo, ni rahisi hivyo. Kila beti unayoweka kwenye michezo au kasino inaongeza nafasi yako ya kuwa miongoni mwa washindi watano watakaondoka na simu mpya ya kisasa. Kadri unavyocheza zaidi, ndivyo unavyoongeza nafasi yako ya kushinda. Hii promosheni sio ya watu wenye bahati tu, ni kwa wale watakaoweka juhudi, na mapenzi yao kwenye mchezo.

NB; Meridianbet haikuachi nyuma. Mbali na Super Heli, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.

Droo ya kuchagua washindi itafanyika tarehe 1 Agosti 2025, na majina ya washindi yatatangazwa siku hiyohiyo. Hakikisha taarifa zako za akaunti ziko sahihi na zimesasishwa ili usikose zawadi yako. Kumbuka, promosheni hii ni halali kwa mtumiaji mmoja tu kwa kila anuani, ili kuhakikisha kila mmoja anapata nafasi sawa ya kushiriki kwa haki. Turbocash na System ticket hazitahusika katika promosheni hii.

Hii ni fursa yako ya kubadili simu yako bila gharama, huku ukiendelea kufurahia michezo unayoipenda kila siku. Fikiria, unaweka beti chache, unafurahia, halafu ghafla unapokea simu inayokuambia kuwa umeshinda Samsung Galaxy A25 mpya kabisa, kwa sababu tu ulibashiri na Meridianbet. Hiyo ni ndoto ya kweli kwa mcheza kamari yeyote.

Kama kawaida, Meridianbet inahifadhi haki ya kufanya mabadiliko au kusitisha promosheni hii wakati wowote, hivyo usingoje hadi dakika za mwisho. Saa inasonga, na kadri unavyo anza mapema, ndivyo unavyoweka nafasi zako kuwa juu zaidi. Promosheni hii inazingatia vigezo na masharti ya kawaida ya Meridianbet, hivyo hakikisha unavipitia ili kuwa na taarifa sahihi.

Unasubiri nini? Ingia au jisajili sasa meridianbet, weka dau, anza kucheza michezo yako pendwa, na unaweza kuwa mmoja wa washindi watano wa simu mpya ya Samsung Galaxy A25.

 



Prev Post Najilaza tu kama gunia kitandani maana nimepoteza hamu ya tendo!
Next Post Twende Butiama 2025 Yaanza Rasmi Kutoka Dar Es Salaam
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook