Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

#Refresh: Triggah Aweka Wazi Changamoto Ya Umeme Nigeria.

  • 20
Scroll Down To Discover

Hivi karbuni Akizungumza katika mahojiano na kipindi cha Refresh cha Wasafi TV, Triggah alisema kuwa alipokuwa nchini Nigeria kuhudhuria harusi ya Jux na Prscy, aligundua jambo la kushangaza miongoni mwa wanahabari wa Nigeria.

“Niliona waandishi wengi wa huko wakiwa na powerbank kila wakati,” alisema. Hali hiyo ilimfanya kufuatilia kwa undani na kugundua kwamba kuna tatizo kubwa la upatikanaji wa umeme nchini humo.

Kwa mujibu wa Triggah, hali hiyo inaathiri kwa kiasi kikubwa utendaji wa kazi hasa katika sekta ya habari na mitandao ya kijamii, ambapo umeme ni rasilimali muhimu kwa vifaa vya kidigitali.

The post #Refresh: Triggah Aweka Wazi Changamoto Ya Umeme Nigeria. appeared first on Wasafi Media.



Prev Post Trey Sonhz Alivyotaka Kupigana Baada Ya Kuletewa Dharau.
Next Post Miaka 25 ya Vodacom: Kuadhimisha Uunganishwaji Kidijitali
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook