Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Trey Sonhz Alivyotaka Kupigana Baada Ya Kuletewa Dharau.

  • 17
Scroll Down To Discover

Kwa mujibu wa video na taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii, Trey Songz alionekana akiongea kwa hasira huku akitoa maneno ya vitisho ya wazi, akieleza nia ya kumpiga mwanaume huyo kutokana na kile alichokitaja kama “kuoneshwa dharau.”

Hata hivyo, hadi sasa, jina na utambulisho wa mwanaume aliyelengwa na vitisho hivyo haujafahamika rasmi. Mashabiki pamoja na watu mbalimbali mitandaoni wanaendelea kufuatilia kwa karibu wakisubiri taarifa zaidi kuhusu kile kilichojiri, chanzo halisi cha mzozo huo, pamoja na msimamo wa Trey Songz au timu yake ya usimamizi.

Tukio hili limeibua hisia mseto mitandaoni, baadhi wakimkosoa msanii huyo kwa kuonesha hasira kupita kiasi, huku wengine wakionyesha uelewa na kutaka kusikia upande wake wa hadithi.

Trey Songz, ambaye kwa muda mrefu amekuwa gumzo si tu kwa vipaji vyake vya muziki bali pia kwa matukio mbalimbali ya utata nje ya jukwaa, sasa anakabiliwa na presha ya kutoa maelezo au tamko rasmi juu ya tukio hilo linaloendelea kuzua mjadala.

The post Trey Sonhz Alivyotaka Kupigana Baada Ya Kuletewa Dharau. appeared first on Wasafi Media.



Prev Post Rais Ruto Apinga Wito Wa Kujiuzulu, Atoa Changamoto Kwa Upinzani Kuwasilisha Mpango Mbadala
Next Post #Refresh: Triggah Aweka Wazi Changamoto Ya Umeme Nigeria.
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook