Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Zaidi ya Bilioni 1 Kuwaniwa Kwenye Mashindnao ya Mystery Multiplier Drop

  • 42
Scroll Down To Discover

Je unajua kuwa kwenye mashindano haya ya WAZDAN unaweza kujishindia mpaka Bilioni Moja na zaidi?. Kama hujajua basi ni hivi mashindano haya sasa yapo Meridianbet ambapo kwa dau lako lolote tuu unaweza ukacheza mchezo wowote na kuibuka mshindi.

Ni siku moja tuu toka mashindano haya yaanze amabapo yataenda mpaka Mwezi Julai tarehe 7. Ushindi upo wazi hapa kwani Wazdan imefungua milango ya wewe kubadilisha maisha yako kirahisi na wala kuhusu dau la kuchezea usiwaze kabisa.

Utamu wa mashindano haya ni kwamba kuna michezo kibao kabisa ndani ya kampeni hii ambayo itakufanya uwe moja ya washindi watakaojinyakulia shilingi 1,950,000,000 kwani mashindnao haya yana thamani ya Bilioni 15 za kitanzania (15,000,000,000). Unasubiri kujiunga na msisimiko huu ndani ya Meridianbet?. Jisajili hapa.

Mashindano haya yapo kwenye mfumo wa multiplier ( marudio ya ushindi) ambao unatamani kubadilisha maisha wa wachezaji wake kwani ushindi upo maradufu hapa. Unataka kujishindia Bilioni 1?. Ingia mzigoni na ushiriki michezo mbalimbali ambayo inatolewa na mtoa huduma wa michezo ya Kasino WAZDAN.

Michezo ambayo itashiriki kwenye kampeni hii ni pamoja na Vegas Hot, Fire Bird, Magic Fruits 81, Black Horse, Sizzling 777, 30 Coins, Magic of the Ring, Mighty Wild Jaguar na mingine mingi ambayo wewe utaamua ni mchezo gani ambao unahitaji kucheza.

Leo hii ndani ya Meridianbet unaweza ukatusua kijanja kabisa kwa kucheza michezo ya Kasino kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Hivyo basi wewe kama mteja wa Meridianbet, wakati ndio huu hapa changamkia fursa hii nzuri kabisa ambayo imekuja kwako. Weka dau lako na uanze safari yako ya ushindi sasa.

SHERIA ZA KAMPENI HII HIZI HAPA

  • Wachezaji watashiriki kampeni hii kwa kuweka dau linalostahiki katika michezo shiriki wakati wa kipindi cha kampeni.
  • Zawadi kuu ya promosheni hii ni kuzidisha dau , na ukishinda utapokea kiasi cha dau lako kikizidishwa kwa Multiplier husiku na italipwa kama zawadi ya pesa taslimu.
  • Mchezaji anaweza kushinda zaidi ya zawadi moja ya bahati wakati wa kampeni.
  • Dau linalostahiki linaweza kushinda zawadi moja. Zawadi zitatolewa bila mpangilio maalumu wakati wa kampeni.
  • Hakuna kiwango cha chini cha dau kinachohitajika , Kila dau linastahiki.
  • Prmosheni hii ina jumala ya thamani ya shilingi Bilioni 15 (15,000,000,000 TZS).
  • Thamani ya juu ya zawadi za pesa taslimu ni shilingi 1,950,000,000 TZS.
  • Kiwango cha juu cha dau kinachotumika kama msingi wa malipo ya zawadi ni shilingi 9000 TZS.
  • Zawadi za pesa hazina masharti ya kuweka dau tena.
  • Zawadi zilizopatikana wakati wa kutumia fedha za bonasi zitalipwa zitalipwa kwa fedha za bonasi.

Ndugu mteaja wa Meridianbet fuata vigezo na masharti ya kampeni hii sasa uwe moja wa watu ambao watajishindi zaidi ya bilioni 1 za Kitanzania. Cheza sasa.



Prev Post NIT na Jeshi la Polisi Watoa Elimu ya Usalama Barabarani kwa Madereva Kibaha
Next Post Kesi ya Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini CHADEMA Yaahirishwa Mpaka Julai 10
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook