Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Bajeti ya Trilioni 56 Yapitishwa Bungeni Bila Kupinga! – Video

  • 49
Scroll Down To Discover

Dodoma, Juni 24, 2025 – Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2025/2026 yenye jumla ya shilingi trilioni 56.49, baada ya mjadala wa siku saba.

Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, akisoma matokeo ya kura za kupitisha bajeti hiyo, amesema kuwa kati ya Wabunge 392 waliotarajiwa kushiriki, 378 walihudhuria, huku 13 wakiwa hawakuwepo na nafasi moja ikiwa wazi.

Kati ya waliopiga kura:

378 walipiga kura za ndiyo,

Kura za hapana: 0,

Kura 5 hazikuwa na uamuzi,

Hii inaifanya bajeti hiyo kupita kwa asilimia 98.7, ikionesha uungwaji mkono mkubwa kutoka kwa wabunge.



Prev Post Wanachama 280 Wa Chadema Watimukia CCM
Next Post Mbunge Job Ndugai Aibua Vigelegele Bungeni Dodoma – Video
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook