Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Rais Dkt. Samia Aweka Jiwe La Msingi Kwa Niaba Ya Shule Zote 103 Za Sekondari

  • 27
Scroll Down To Discover

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi mara baada ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Amali ya Mwamapalala iliyopo wilayani Itilima mkoani Simiyu tarehe 18 Juni, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan Juni 18, 2025 ameweka jiwe la msingi katika ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Amali ya Mwamapalala, iliyoko Wilaya ya Itilima, mkoani Simiyu.

Rais Dkt. Samia ameweka jiwe hilo la msingi kwa niaba ya shule zote 103 za Sekondari za Amali zinazojengwa nchi nzima.

Rais Dkt. Samia akiweka jiwe la msingi katika ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Amali ya Mwamapalala, iliyoko Wilaya ya Itilima, mkoani Simiyu, tarehe 18 Juni, 2025.



Prev Post Rais Dkt. Samia Aweka Jiwe La Msingi Kwa Niaba Ya Shule Zote 103 Za Sekondari
Next Post Waziri Mkuu Akutana Na Wajumbe Wa Misheni Maalum Ya Kutathmini Maandalizi Ya Uchaguzi Mkuu
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook