Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

MERIDIANBET YATOA20% BONUS KWA WATEJA WANAOTUMIA M-PESA PUSH…

  • 37
Scroll Down To Discover

Meridianbet imeleta ofa mpya ya kuvutia ili kuwapa wateja wao thamani zaidi kwa miamala yao ya kila siku kupitia M-Pesa Push. Wateja wote wanaoweka pesa kwa mara ya kwanza kila siku kupitia M-Pesa Push sasa watapata bonus ya 20% ya kiasi walichoweka, hadi kiwango cha juu cha shilingi 50,000 kwa siku. Ofa hii itaendelea hadi Desemba 31, 2025.

NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Ili kupata bonus hii, mteja anahitaji kuweka pesa kupitia M-Pesa Push na kutumia kiasi hicho mara mbili katika kubashiri michezo au kucheza michezo ya kasino mtandaoni siku hiyo hiyo. Kwa wale wanaobashiri michezo, tiketi zinazostahiki ni zile zinazokamilika ndani ya siku hiyo na zenye odds za jumla za 3 au zaidi. Tiketi zilizotumia chaguo la cash out hazitahesabiwa katika mahitaji ya rollover. Kwa michezo ya kasino mtandaoni, michezo ya sloti iliyochezwa siku hiyo ya kuweka pesa itahesabiwa.

Bonus hiyo inaweza kutumika tu kwenye tiketi zenye mechi nne, na kila mechi inapaswa kuwa na odd ya 1.5 au zaidi. Kiwango cha juu zaidi cha malipo kwa tiketi inayotumia bonus ni shilingi 100,000.

Mteja atapokea bonus kwa miamala ya kwanza ya siku moja tu, na lazima awe ametumia bonus zilizopita kabla ya kupokea bonus mpya. Tumia M-Pesa Push na Meridianbet leo ili ufurahie faida zaidi kutokana na pesa zako.

The post MERIDIANBET YATOA20% BONUS KWA WATEJA WANAOTUMIA M-PESA PUSH… appeared first on Soka La Bongo.



Prev Post MICHUANO YA COSAFA KUENDELEA LEO….
Next Post ZAWADI MPAKA EURO MILIONI MIA MOJA KUTOLEWA NDANI YA SPIN-O-MANIA…
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook