Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Rais Samia Atembelea Barabara Ya Mzunguko Dodoma (Km 112.3) Na Kuzungumza Na Wananchi – Video

  • 30
Scroll Down To Discover

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina mara baada ya kuwasili Mtumba kwa ajili ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara ya mzunguko wa nje ya Jiji la Dodoma (Dodoma outer ring road) yenye urefu wa km (112.3) Jijini Dodoma tarehe 14 Juni, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Akitembelea Barabara ya Mzunguko Dodoma (Km. 112.3) na Kuzungumza na Wananchi, leo tarehe 14 Juni, 2025.

Rais Samia akisalimiana Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete maraa baada ya Kuwasili kugagua maendeleo ya ujenzi wa barabara ya mzunguko wa nje ya Jiji la Dodoma(Dodoma outer ring road) yenye urefu wa km (112.3)katika eneo la Mtumba Jijini Dodoma tarehe 14 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan pamoja na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina wakimsikiliza Waziri wa Ujenzi Mhe. Abdallah Ulega kuhusu maendeleo ya ujenzi wa barabara ya mzunguko wa nje ya Jiji la Dodoma (Dodoma outer ring road) yenye urefu wa km (112.3) katika eneo la Mtumba Jijini Dodoma tarehe 14 Juni, 2025.
Muonekano wa Barabara ya Mzunguko ya Dodoma (Dodoma outer ring road) yenye urefu wa km (112.3) Jijini Dodoma tarehe 14 Juni, 2025.



Prev Post Rais Samia Atembelea Barabara Ya Mzunguko Dodoma (Km 112.3) Na Kuzungumza Na Wananchi – Video
Next Post Rais Samia Atembelea Barabara Ya Mzunguko Dodoma (Km 112.3) Na Kuzungumza Na Wananchi – Video
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook