Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

MAGAZETI ya Leo Alhamisi 12 June 2025

  • 45
Scroll Down To Discover

MAGAZETI ya Leo Alhamisi 12 June 2025

MAGAZETI ya Leo Alhamisi 12 June 2025

MAGAZETI ya Leo Alhamisi 12 June 2025

Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imetupwa nje ya mashindano ya COSAFA licha ya kuibuka na ushindi ya mabao 2-1 dhidi ya Eswatini.

Ushindi wa Stars umeifanya kujikusanyia pointi tatu na kumaliza nafasi ya pili katika msimamo wa kundi C nyuma ya Madagascar yenye pointi nne.

Stars imeaga mashindano hayo baada ya kushindwa kumaliza kileleni mwa Msimamo wa kundi lake ambapo kila kundi inatoka timu moja inayoongoza kuingia katika hatua ya Nusu Fainali.



Prev Post Polisi Wamkana Aliyedaiwa Kuwa Mkuu Wa Kituo Cha Polisi Tabora – Video
Next Post Rais wa Kenya Asema Mwanablogu alikufa ‘Mikononi Mwa Polisi’
Related Posts
© Image Copyrights Title

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 13 June 2025

© Image Copyrights Title

MAGAZETI ya Leo Jumatano 11 June 2025

Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook