Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Rais Samia Ashiriki Sherehe Ya Kufunga Kozi Ya Maafisa Na Wakaguzi Wa Jeshi La Polisi (Picha +Video)

  • 19
Scroll Down To Discover

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Sherehe ya kufunga Kozi ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Jeshi la Polisi katika viwanja vya Chuo cha Taaluma ya Polisi kilichopo Kurasini Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Juni, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki sherehe ya Kufunga Kozi ya Maafisa na Wakaguzi wa Jeshi la Polisi Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es salaam, leo tarehe 9 Juni, 2025.



Prev Post TRA Yawapa Siku 14 Watumishi Wapya Kuripoti Kazini
Next Post Zimbabwe Kuua Tembo 50 Katika Savé Valley, Nyama kupewa Wananchi
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook