Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Wasira Ateta Na Jaji Warioba, Mzee Butiku jijini Dar

  • 25
Scroll Down To Discover


MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Stephen Wasira amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi waandamizi wastaafu wa serikali.

Viongozi hao ambao amekutana nao leo June 4, 2025 jijini Dar es Salaam ni Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Waryoba pamoja na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Mzee Joseph Butiku ambaye pia amewahi kushika nyadhifa mbalimbali serikali.



Prev Post Makalla: The Royal Tour Imekuza Utalii Kaskazini
Next Post MAGAZETI ya Leo Alhamisi 05 June 2025
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook