Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Mbunge Shigongo Aeleza Hatari Ya Homa Ya Ini Nchini, Aomba Serikali Kuwachanja Watanzania – Video

  • 32
Scroll Down To Discover

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo ameitaka serikali kuchukua hatua zaidi za kudhibiti homa ya ini (Hepatitis B) ambayo kwa sasa inaathiri asilimia 6 ya Watanzania kwa kutoa chanjo kwa Watanzania.

Shigongo aliyasema hayo nje ya viwanja vya bunge baada ya kuchangia hoja katika Bajeti ya Wizara ya Afya iliyowasilishwa bungeni jijini Dodoma.



Prev Post Waziri Mkuu Ahani Msiba Wa Mzee Mongela Makongo Juu jijini Dar
Next Post Mbinu ya kuzishika fedha na kubakia nazo kwa muda mrefu
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook