Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Rihanna Afiwa Na Baba Yake Mzazi ‘Ronald Fenty’.

  • 40
Scroll Down To Discover

Mwanamuziki Rihanna Amempoteza Baba Yake ‘Ronald Fenty’, Ambaye amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 70 huko Los Angeles baada ya kuugua (Ugonjwa Haujawekwa Wazi). Ronald Fenty Amefariki Dunia Leo Jumamosi Mei 31, 2025.

Baba Wa Rihanna ‘Ronald Fenty’ Na Mkewe ‘Monica’ Walibarikiwa Kuwa Na Watoto Watatu Ambao Ni Rihanna, Rajad, na Rorrey.

The post Rihanna Afiwa Na Baba Yake Mzazi ‘Ronald Fenty’. appeared first on Wasafi Media.



Prev Post Wiki ya AZAKI 2025 Kuanza na Mjadala Kuhusu Dira ya Maendeleo 2050
Next Post Mbosso Anakuja Na Jambo Gani ?
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook