Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Rais Samia akutana na Rais wa TLS Ikulu Chamwino

  • 2
Scroll Down To Discover

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma, tarehe 27 Agosti, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, leo tarehe 27 Agosti 2025, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.

Mazungumzo hayo yalihusu masuala mbalimbali yanayohusiana na sekta ya sheria nchini, ikiwemo nafasi ya wanasheria katika kukuza demokrasia, utawala wa sheria, na haki za wananchi.

Ikulu imesema kikao hicho ni sehemu ya jitihada za Serikali kuendelea kushirikiana na wadau wa kisheria kwa ajili ya kuimarisha misingi ya haki na uwajibikaji nchini.

 



Prev Post Mama Aliyeugua Miaka Mingi Sasa Amepona
Next Post 17 kuwania urais Tanzania, lakini Luhaga Mpina atemwa nje, katika Dira ya Dunia TV
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook