Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Bodi ya Ligi Yathibitisha Dabi ya Kariakoo Kuchezwa Juni 15, 2025 – Video

  • 43
Scroll Down To Discover


Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi kuu Tanzania bara, Steven Mguto amezungumza mara baada mchezo ligi kuu kumalizika kwenye uwanja kcm complex kati Simba dhidi Singida black star Mnyama akiondoka na alama tatu.

Mguto Amesema wao kama bodi ya ligi kuu wameshapanga ratiba ya kumalizika Kwa msimu 2024/2025 na mchezo dabi Kariakoo ukiwepo utakao chezwa June 15 .



Prev Post Mbeto ajigamba hakuna chama cha kuzuia Ushindi wa CCM 2025
Next Post Wajumbe Wapya Wanne Wachaguliwa Kujiunga na Kamati Kuu ya CCM Taifa
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook