Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Naibu Waziri Mkuu Biteko na Wadau Wajadili Fursa za Ushirikiano Sekta ya Madini

  • 28
Scroll Down To Discover

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mheshimiwa Doto Biteko, akiwa kwenye picha ya pamoja na (kutoka kushoto) Bi. Fatma Abdallah (Mkurugenzi Mtendaji – Puma Energy Tanzania), Bw. Mark Russell (Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Puma Energy), Mh. Doto M. Biteko (Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati), Bw. Ben Ouattara (Mkuu wa Kanda ya Afrika – Puma Energy), na Dkt. James Andilile (Mkurugenzi Mkuu – EW) baada ya kikao cha kujadili fursa za ushirikiano katika sekta ya nishati. Tukio hilo lilifanyika leo katika ofisi za Waziri Mkuu, jijini Dodoma.



Prev Post KILA USIKU SAA SITA, MTOTO WETU ALIKUWA AKIPIGA KELELE KILE TULICHOKIKUTA CHINI YA KITANDA BADO KINATUSUMBUA AKILINI
Next Post Ujio wa Teknolojia Mpya Kuchochea Ushiriki Kwenye Soko la Hisa
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook