Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Kutana na Darstate; Wataalamu wa Ukusanyaji Madeni Tanzania

  • 38
Scroll Down To Discover

Darstate Company Ltd ni kampuni inayoongoza kwa huduma za ukusanyaji wa madeni na uendeshaji wa minada ya hadhara nchini Tanzania. wanatoa huduma kwa wateja wa aina zote, ikiwemo mabenki, kampuni binafsi, wafanyabiashara, taasisi za ndani na nje ya nchi, pamoja na watu binafsi wenye changamoto za madeni yasiyokusanywa.

✅ Huduma za Kukusanya Madeni:
Wanatoa huduma za ukusanyaji wa madeni ya aina zote kwa niaba ya wateja wetu. Hii inajumuisha madeni kutoka kwa wateja binafsi, taasisi, kampuni, na mabenki. Gharama zetu ni nafuu na hulipwa baada ya kazi kukamilika.

✅ Huduma za Auctioneer:
Wanasaidia kuuza mali zilizowekwa dhamana au mali binafsi kupitia minada ya hadhara. Hii inajumuisha magari, nyumba, mashamba, bidhaa na mali nyinginezo kwa lengo la kuhakikisha wateja wanapata thamani stahiki kwa mali zao.

📍 Ofisi: Tegeta, Nyuki House, Ground Floor, Ofisi Namba 6

📱 Wasiliana Nasi:
Simu: +255 792 363 242Barua pepe: director@darstate.co.tz

📸 Instagram: @DarstateCompanyLtd



Prev Post Papa Leo XIV Apokea Pete ya Mvuvi kutoka kwa Kardinali Luis Antonio Tagle
Next Post Profesa Janabi Ashinda Nafasi ya Mkurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook