
Tazama nyomi la wananchi wa Buchosa wakiwa na mbunge wao, Eric Shigongo katika Kata ya Nyehunge, ambako amezungumza nao na kuwaeleza utekelezaji wa ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM).
Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, like, comment ili kuendelea kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!