

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, amesema atampiga ‘spana’ kila kiongozi anayezembea jijini Arusha mpaka kazi aliyotumwa ikamilike.
Makonda amesema hayo wakati akizungumza katika maadhimisho ya Miaka 61 ya Muungano yanayofanyika leo kimkoa katika uwanja wa Soko la Kilombero mkoani Arusha ambapo mgeni rasmi ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko.
Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, like, comment ili kuendelea kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!