Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Rais Dkt. Samia Atunuku Nishani Ya Muungano Na Kuzindua Kitabu Cha Mwalimu Nyerere (Picha +Video)

  • 20
Scroll Down To Discover

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akibonyeza kitufe kuzindua Kitabu cha “Mwalimu Julius Kambarage Nyerere: Photographic Journey” Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 26 Aprili, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametunuku Nishani ya Muungano na Kuzindua Kitabu cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Ikulu ya Chamwino, Dodoma, leo tarehe 26 Aprili, 2025.

Rais Samia akimkabidhi Mama Fatma Karume Mjane wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume Kitabu cha “Mwalimu Julius Kambarage Nyerere: Photographic Journey” mara baada ya uzinduzi.
Rais Samia akimkabidhi Ndugu Madaraka Nyerere Kitabu cha “Mwalimu Julius Kambarage Nyerere: Photographic Journey” mara baada ya uzinduzi.
Rais Samia  akimtunuku Nishani ya Kumbukumbu ya Muungano Daraja la Tatu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Tanzania Bara (2012-2022) Philip Japhet Mangula.
Rais Samia  akimtunuku Nishani ya Kumbukumbu ya Muungano Daraja la Pili kwa Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Dkt. Mohamed Ali Shein.
Rais  Samia Suluhu Hassan akimtunuku Nishani ya Kumbukumbu ya Muungano Daraja la Pili kwa Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya Nne Mizengo Kayanza Peter Pinda.
Rais Samia akimtunuku Nishani ya Kumbukumbu ya Muungano Daraja la Pili kwa Makamu wa Pili wa Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 26 Aprili, 2025.
Rais Samia  akimkabidhi Mjane wa Hayati Edward Ngoyai Lowassa Waziri Mkuu Mstaafu, Mama Regina Lowassa Nishani ya Kumbukumbu ya Muungano.

 



Prev Post Watu 200,000 wahudhuria mazishi ya Papa Francis
Next Post MAGAZETI ya Leo Jumapili 27 April 2025
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook