Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Kamati Ya Bunge Yapokea Wasilisho La Miradi Ya Wizara Ya Habari

  • 27
Scroll Down To Discover

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imepokea taarifa ya miradi mbalimbali inayotekelezwa na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo pamoja na Taasisi zake.

Taarifa hiyo iliwasilishwa na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma Machi 10, 2026 Bungeni Jijini Dodoma.

Baada ya kuwasilishwa kwa taarifa hiyo, Mwenyekiti wa Kamati Mhe. Husna Sekiboko alisema hatua inayofuata ni kufanya ziara ya kuona utekelezaji katika miradi hiyo.

The post Kamati Ya Bunge Yapokea Wasilisho La Miradi Ya Wizara Ya Habari appeared first on Global Publishers.



Prev Post MBIO ZA ALAMA 12 ZAMUWEKA PEDRO KWENYE WAKATI MGUMU
Next Post Rais Samia Amuasili Mtoto Mchanga Aliyetelekezwa Tabora
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook