Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Kanali Randrianirina Avunja Serikali Nzima Madagascar, Waziri Mkuu Aondolewa

  • 9
Scroll Down To Discover

Kiongozi wa kijeshi wa Madagascar, Kanali Michael Randrianirina, amevunja serikali nzima kwa kumfuta kazi Waziri Mkuu pamoja na mawaziri wote wa baraza la mawaziri katika hatua ya kushtukiza.

Taarifa kutoka kwa msemaji wake imesema serikali imeacha rasmi kutekeleza majukumu yake, huku Randrianirina akitarajiwa kumteua Waziri Mkuu mpya na kuunda baraza jipya la mawaziri.

Randrianirina alichukua madaraka Oktoba mwaka jana baada ya maandamano makubwa yaliyoongozwa na vijana kupinga uhaba wa umeme na maji, hali iliyosababisha jeshi kumuondoa madarakani aliyekuwa rais Andry Rajoelina.

Hatua hii mpya inaongeza mvutano wa kisiasa nchini humo wakati Madagascar ikiendelea na kipindi cha mpito kuelekea uchaguzi mpya uliopangwa kufanyika ndani ya miaka miwili.

The post Kanali Randrianirina Avunja Serikali Nzima Madagascar, Waziri Mkuu Aondolewa appeared first on Global Publishers.



Prev Post Mo Dewji Atangazwa na Forbes Kuwa Tajiri Namba Moja Afrika Mashariki na Kati
Next Post Athari ya vita Iran kwa bei ya mafuta. Katika Dira ya Dunia TV
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook