Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Bei ya Mafuta Yapanda – EWURA Yatangaza Bei Mpya za Petroli, Dizeli na Mafuta ya Taa

  • 22
Scroll Down To Discover

Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura) leo Machi 4, 2026 imetangaza bei kikomo zitakazotumika Machi mwaka huu.

Bei ya rejareja ya petroli jijini Dar es Salaam imeongezeka hadi Sh2,864 kwa lita kutoka Sh2,788 ya Februari, ikiwa ni ongezeko la Sh76.

Dizeli imepanda kwa kasi zaidi ikiwa na ongezeko la Sh157, ambapo itauzwa Sh2,858 kutoka Sh2,701, huku mafuta ya taa yakiongezeka kwa Sh186 ambapo itauzwa Sh2,932 kutoka Sh2,746.

 

The post Bei ya Mafuta Yapanda – EWURA Yatangaza Bei Mpya za Petroli, Dizeli na Mafuta ya Taa appeared first on Global Publishers.



Prev Post Viwanda Mkoani Pwani Vyatakiwa Kuboresha Mazingira ya Kazi
Next Post Israel Yashambulia Makao Makuu ya Jeshi la Iran mjini Tehran
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook