Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Rais Samia Ahitimisha Ziara ya Siku Mbili Arusha

  • 14
Scroll Down To Discover

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu Machi 02, 2026 amehitimisha ziara yake ya kikazi ya siku mbili Mkoani Arusha.

Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro International Airport (KIA), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameagwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Amos Gabriel Makalla, pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Region, Nurdin Babu, na viongozi wa Chama na Serikali.

Ziara hiyo ya kikazi imekamilika huku Rais akirejea kuendelea na majukumu yake mengine ya kitaifa.

 

The post Rais Samia Ahitimisha Ziara ya Siku Mbili Arusha appeared first on Global Publishers.



Prev Post Msajili wa Hazina Afanya Mazungumzo na Mwenyekiti wa Lifezone Metal
Next Post Meli Tatu Za Marekani Na Uingereza Zashambuliwa Katika Mlango Wa Hormuz
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook