Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Rais Samia Afanya Uhamisho na Kupangua Vyeo vya Mabalozi

  • 20
Scroll Down To Discover

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uhamisho na kupangua vyeo vya mabalozi katika vituo mbalimbali nje ya nchi.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka, uteuzi huo unawahusisha mabalozi kadhaa waliopangiwa kuziwakilisha Tanzania katika mataifa na taasisi za kimataifa.

The post Rais Samia Afanya Uhamisho na Kupangua Vyeo vya Mabalozi appeared first on Global Publishers.



Prev Post Video: Watu zaidi ya 500 Wauawa Iran Kwa Makombora Ya Marekani Na Israel
Next Post Makombora Yaleta Taharuki Israel, Majeruhi 19 Waripotiwa – Video
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook