Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

KINACHOMSIBU MZIZE HUKO YANGA šŸ˜°šŸ˜°ā€¦.MASHABIKI MUOMBEENI TU….LA SIVYO MHHHH….

  • 17
Scroll Down To Discover

MSHAMBULIAJI wa YANGA Clement Mzize, anatarajiwa kufanyiwa upasuajiĀ  kufuatia changamoto ya kiafya inayomkabili.

Taarifa za kufanyiwa upasuaji kwake zimewekwa wazi na aliyekuwa mtaalam wa masuala ya misuli na utimamu wa mwili wa Yanga, Seroto Sekhwela maarufu kwa jina la SK Seroto, aliyewapokea nchini Afrika Kusini.

Kupitia ujumbe wake, Sekhwela alionesha mshikamano na upendo kwa nyota huyo akisema:

ā€œChuma hunoa chuma. Nimempokea mmoja wa wachezaji bora kabisa wa Tanzania pamoja na Dk. Moses Etutu, mchezaji kutoka klabu yangu ya zamani ya Afrika Mashariki, Yanga,

ā€œSasa ni familia, na leo anaingia kufanyiwa upasuaji. Namtakia nguvu, mikono ya madaktari iwe salama na arejee haraka uwanjani. Tuko pamoja nawe,ā€ amesema.

Mzize alikuwa nje kwa muda mrefu akiuguza jeraha la goti, alipata nafuu na kurejea kwenye mazoezi ambapo alicheza dakika za mwishoni mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Far Rabat ya Morocco ugenini na baada yah apo hakuonekana tena ikielezwa kuwa bado hakuwa imara.

The post KINACHOMSIBU MZIZE HUKO YANGA šŸ˜°šŸ˜°ā€¦.MASHABIKI MUOMBEENI TU….LA SIVYO MHHHH…. appeared first on Soka La Bongo.



Prev Post HISTORIA, PRESHA DERBY YAAMUA HATMA YA WATANI
Next Post KUELEKEA DABI YA KARIAKOO……YANGA MAPEMAAAA TU…..SHILINGI IKO JANGWANI KITAMBO….
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook