Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Dkt. Mwigulu Afanya Ukaguzi wa Mradi wa Stendi Kuu ya Mabasi Arusha

  • 20
Scroll Down To Discover

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba Februari 24, 2026 amekagua maendeleo ya Mradi wa Ujenzi wa Stendi Kuu ya Mabasi yaendayo Mikoani unaotekelezwa katika eneo la Bondeni City katika Halmashauri ya Jiji la Arusha.

Mradi huo ambao utagharimu shilingi bilioni 14.3 una lengo la kuboresha miundombinu ya usafiri na usafirishaji na kupunguza msongamano katikati ya Jiji la Arusha.

Mradi huo ambao unatarajiwa kukamilika Mwezi Mei 2026 umefikia asilimia 49.

 

 

The post Dkt. Mwigulu Afanya Ukaguzi wa Mradi wa Stendi Kuu ya Mabasi Arusha appeared first on Global Publishers.



Prev Post Zaidi ya watu 55,000 wameuawa nchini Ukraine tangu uvamizi wa Urusi, katika Dira ya Dunia TV
Next Post Mwigulu Aonya Watumishi Kumiliki Vizimba Kwenye Masoko Ya Halmashauri
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook