Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Video: Ajali Kubwa Kwa Idd, Arumeru: Basi la Dar Express Lagongwa na Daladala

  • 13
Scroll Down To Discover


Ajali mbaya imeripotiwa katika eneo la Kwa Idd, wilayani Arumeru, mkoani Arusha, baada ya basi la kampuni ya Dar Express kugongana na daladala ya abiria.

Taarifa za awali zinaonesha kuwa watu kadhaa wamejeruhiwa, huku baadhi ya majeruhi wakiwa katika hali hatari. Magari yote mawili yameharibika vibaya sehemu ya mbele.

The post Video: Ajali Kubwa Kwa Idd, Arumeru: Basi la Dar Express Lagongwa na Daladala appeared first on Global Publishers.



Prev Post Tundu Lissu Apinga Ushahidi Mpya Katika Kesi ya Uhaini
Next Post El Mencho Afariki, CJNG Washambulia Majimbo Kadhaa kwa Kulipiza Kisasi
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook