Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Wasira Amtembelea Mama Maria Nyerere Msasani

  • 19
Scroll Down To Discover

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Bara), Stephen Wasira, Februari 18, 2026 amemtembelea na kumjulia hali Maria Nyerere nyumbani kwake Msasani, jijini Dar es Salaam.

Mama Maria ni mjane wa Hayati Julius Kambarage Nyerere, Baba wa Taifa na Rais wa kwanza wa Tanzania, ambaye aliongoza nchi katika misingi ya umoja, amani na maadili ya uongozi.

Ziara hiyo inaelezwa kuwa ni ya heshima na kujuliana hali, ikionesha kuthamini mchango wa familia ya Mwalimu Nyerere katika historia ya taifa.

The post Wasira Amtembelea Mama Maria Nyerere Msasani appeared first on Global Publishers.



Prev Post Vitu 10 Muhimu Unavyotakiwa Kujua Kabla ya Kununua Gari la Speed
Next Post Bwege Ajiuzulu ACT Wazalendo Aujiunga na CHADEMA
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook