Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Rais Samia Awasili Addis Ababa Kushiriki Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi wa Umoja wa Afrika

  • 16
Scroll Down To Discover

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasili katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa Bole, Jijini Addis Ababa Ethiopia, tarehe 12 Februari, 2026 kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 39 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU).

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alipokelewa na Waziri wa Kazi na Ukuzaji wa Ujuzi wa Ethiopia Mheshimiwa Muferihat Kamil Ahmed.

The post Rais Samia Awasili Addis Ababa Kushiriki Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi wa Umoja wa Afrika appeared first on Global Publishers.



Prev Post Mambo Yaanza Kunoga Mlimani City Tuzo za Creators
Next Post Hafla ya Tuzo za Tanzania Creator Kufanyika Leo Mlimani City
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook