Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Mama wa Chid Benz Afariki Dunia, Msiba Upo Chanika jijini Dar

  • 15
Scroll Down To Discover

Mama mzazi wa msanii wa Hip Hop, Rashid Makwilo almaarufu Chid Benz, Bi Hawa amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Feb 11, 2026.

Global TV imezungumza na Chid Benz ambaye amethibitisha taarifa hizo na kueleza kuwa msiba upo nyumbani kwao, Chanika jijini Dar es Salaam.

Taarifa zaidi zitakujia.

🔴 Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, like, comment ili kuendelea kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika.

The post Mama wa Chid Benz Afariki Dunia, Msiba Upo Chanika jijini Dar appeared first on Global Publishers.



Prev Post Waziri Mkuu Azindua Uwanja wa Ndege Mtemere Mloka Mkoani Pwani
Next Post Scholes Aishauri Man United Kumsajili Cristian Romero Kutoka Tottenham
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook