Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Yanga Watangaza Viingilio vya Mchezo wa CAFCL Dhidi ya JS Kabylie Zanzibar

  • 18
Scroll Down To Discover

Klabu ya Young Africans (Yanga SC) imetangaza rasmi viingilio vya mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) dhidi ya JS Kabylie, utakaochezwa Februari 15, 2026 katika dimba la New Amaan Complex, Zanzibar.

Mchezo huo unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa huku Yanga wakihitaji matokeo mazuri ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kusonga mbele katika michuano hiyo ya kimataifa.

Mashabiki wa Wananchi wanatarajiwa kujitokeza kwa wingi kuipa sapoti timu yao, huku kauli mbiu yao ikiwa #TutafuzuKwaKishindo, wakiamini ushindi nyumbani utakuwa chachu ya mafanikio.

Uongozi wa klabu umehimiza mashabiki kununua tiketi mapema na kujaza uwanja ili kuipa timu morali katika pambano hilo muhimu.

The post Yanga Watangaza Viingilio vya Mchezo wa CAFCL Dhidi ya JS Kabylie Zanzibar appeared first on Global Publishers.



Prev Post Dkt. Mwigulu Akabidhi miundombinu 21 ya utalii ya Shillingi billioni 114
Next Post Mahakama Yatupilia Mbali Mapingamizi 4 ya Lissu, Lakubali Hoja Kuhusu Kizimba cha Shahidi wa Siri
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook