Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Rais Samia Kuwaapisha Viongozi Wapya Leo Ikulu

  • 34
Scroll Down To Discover

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwaapisha viongozi mbalimbali walioteuliwa kushika nafasi tofauti serikalini katika hafla rasmi itakayofanyika Ikulu.

Viongozi hao wanajumuisha waliopata uteuzi katika nafasi za Makatibu Wakuu, Wakuu wa Taasisi za Umma, Wakurugenzi pamoja na watendaji wa ngazi mbalimbali za Serikali, hatua inayolenga kuimarisha utendaji na kuongeza ufanisi katika utoaji wa huduma kwa wananchi.

The post Rais Samia Kuwaapisha Viongozi Wapya Leo Ikulu appeared first on Global Publishers.



Prev Post Kesi ya Lissu Kusikilizwa Siku 20 Mfululizo Mahakama Kuu – Video
Next Post Waziri Mkuu Azindua Kituo Kikubwa Cha CNG Puma Energy
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook