Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Video: Rais Samia Awataja Mawinga Akizindua Soko La Kariakoo

  • 26
Scroll Down To Discover

Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amesema anatambua juhudi za wafanyabiashara wadogo yaani machinga na mawinga katika kujitafutia kipato, ndiyo maana Serikali yake imejikita katika juhudi za kurasimisha biashara zao.

Dkt Samia ametoa kauli hiyo jijini Dar es Salaam leo, Jumapili Februari 8, 2026 alipofungua Soko la Kariakoo lililojengwa upya baada ya kuungua mwaka 2021.

“Natambua juhudi zenu za kujitafutia kipato ndio maana kipaumbele cha Serikali ni kurasimisha biashara zenu kama ilivyoainishwa katika Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2025/30,” amesema.

 

 

The post Video: Rais Samia Awataja Mawinga Akizindua Soko La Kariakoo appeared first on Global Publishers.



Prev Post Video: Rais Samia Ataka Kujengwe Eneo La Kulea Watoto Sokoni Kariakoo
Next Post Majambazi Watatu Wauawa Simiyu Wakifyatuliana Risasi na Polisi
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook