Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Farhan Afunguka Mo Dewji Kuchafuliwa, Ishu ya Mangungu Kupigwa – Video

  • 35
Scroll Down To Discover

Mwandishi wa habari na mchambuzi mahiri wa masuala ya michezo, Farhan Kihamu, amezungumza na Global TV kufuatia sakata la baadhi ya mashabiki wa klabu ya Simba kudaiwa kutaka kumshambulia Mwenyekiti wa klabu hiyo, Murtaza Mangungu. Aidha, Farhan amegusia sakata lingine la mashabiki kuitisha mkutano na waandishi wa habari, wakiibua tuhuma na hoja nzito dhidi ya mwekezaji wa klabu hiyo, Mo Dewji.

Katika mazungumzo hayo, Farhan Kihamu ameeleza kuwa mafanikio makubwa yaliyoipata klabu ya Simba yamechangiwa kwa kiwango kikubwa na uwekezaji wa Mo Dewji. Ameeleza kushangazwa na baadhi ya mashabiki wanaomkosoa mwekezaji huyo, akitolea mfano wa mafanikio yanayooneshwa na mwekezaji wa klabu ya Yanga, Ghalib Said Mohammed (GSM), akisisitiza kuwa hatua na mafanikio hayo yalishawahi kufikiwa na Simba chini ya uwekezaji wa Mo Dewji takribani miaka mitano iliyopita.

The post Farhan Afunguka Mo Dewji Kuchafuliwa, Ishu ya Mangungu Kupigwa – Video appeared first on Global Publishers.



Prev Post Pozi za Lulu Diva Zatibua Mtandao, Mashabiki Wakosa la Kusema
Next Post Trump Atia Saini Amri ya Ushuru Mpya kwa Mataifa Yanayofanya Biashara na Iran
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook