Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Video: Makaburi Yanafukuliwa, Nyumba Zinajengwa, Wananchi Walia

  • 23
Scroll Down To Discover

Ni kutoka Kimani mtaa wa Kinyamwezi kata ya Pugu ambapo kuna mgogoro kati ya wananchi pamoja na wananchi ambao wanadai Bi Elizabeth Simon yupo katika eneo hilo kinyuma na taratibu, ambapo eneo hilo ni eneo maalumu ambalo wameelekezwa na serikali ya mtaa kuwa ni eneo ya maziko.

 

Aidha wananchi hao wanadai Mama huyo amefukua makaburi hayo na kwenda kutupa mabaki ya miili ya wapendwa wao.

 

Kwa upande wa Mtuhumiwa huyo amezungumza na GlobalTV na kufafanua kilichotokea na kukana kufukua makaburi hayo na pia ameonesha nyaraka za mahakamani za kushinda kesi hiyo ambapo mahakama ilimpa maelekezo ya nini cha kufanya.

 

 

The post Video: Makaburi Yanafukuliwa, Nyumba Zinajengwa, Wananchi Walia appeared first on Global Publishers.



Prev Post Zaidi ya Wananchi 3000 Wanufaika na Matibabu Bure Chalinze
Next Post Manchester United Yaifunga Tottenham 2-0, Yafikisha Ushindi wa Nne Mfululizo
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook