Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Iran 'Tutatetea maslahi yetu' Katika Dira ya Dunia TV

  • 27
Scroll Down To Discover

Taifa la Iran limesema mazungumzo kati ya Tehran na Washington yamemalizika mjini Muscat, huku pande hizo mbili zikikubali kuendeleza mazungumzo katika siku za usoni. Waziri wa mambo ya kigeni wa Iran Abbas Aragchi amesema wasiwasi wa kutoaminiana unafaa kuondolewa. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post MAUMIVU YA CAF, KASALI AIBEBA SIMBA KIMATAIFA
Next Post Fursa Mpya za Ajira: TEMESA Yatangaza Nafasi 6 za Meneja wa Kanda
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook