Siku mbili za mazungumzo kati ya Ukraine, Urusi na Marekani yaliyolenga kumaliza vita vya moscow yamekamilika kwa makubaliano ya kubadilishana wafungwa pekee. Hatua ya kwanza inayofanyika baada ya miezi minne.
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw






Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!