Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Rais Samia Aondoka Nchini Kuelekea UAE Kushiriki WGS 2026 – Video

  • 24
Scroll Down To Discover


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiondoka nchini kuelekea Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) leo tarehe 02 Februari, 2026, ambapo atashiriki kwenye mkutano wa World Government Summit (WGS 2026) na uzinduzi wa Global Africa Investment Summit (GAIS).

Ushiriki wa Tanzania katika WGS 2026 unaakisi utekelezaji wa DIRA 2050 na Sera Mpya ya Mambo ya Nje, zinazoweka diplomasia ya kiuchumi kama nguzo ya mahusiano ya kimataifa.

Lengo ni kuoanisha sera, ushirikiano na mitaji ya uwekezaji kwa maendeleo ya taifa.

The post Rais Samia Aondoka Nchini Kuelekea UAE Kushiriki WGS 2026 – Video appeared first on Global Publishers.



Prev Post Serikali Yaahidi Kuimarisha Uhuru wa Mahakama, Nchimbi Asisitiza Haki na Uwajibikaji
Next Post Mamia Wajitokeza Siku ya Kwanza Uchunguzi wa Bure Hospitali ya Kairuki
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook