Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Rais Samia Awasili Dubai, Azungumza na Waziri wa Sheria – Video

  • 18
Scroll Down To Discover

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Al Maktoum (DWC), Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Februari 02, 2026.
Mara baada ya kuwasili, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alifanya mazungumzo na Waziri wa Sheria wa Umoja wa Falme za Kiarabu, Mhe. Abdullah bin Sultan bin Awad Al Nuaimi, katika uwanja huo wa ndege.


Katika ziara hiyo, Rais Dkt. Samia atashiriki katika Mkutano wa Dunia wa Serikali (World Governments Summit – WGS) 2026, pamoja na kushiriki Jukwaa la Kimataifa la Uwekezaji Afrika (Global Africa Investment Summit – GAIS), linalolenga kukuza ushirikiano wa kiuchumi na uwekezaji kati ya Afrika na dunia.

The post Rais Samia Awasili Dubai, Azungumza na Waziri wa Sheria – Video appeared first on Global Publishers.



Prev Post Tshisekedi Aweka Masharti Magumu Mazungumzo ya Amani DRC
Next Post Iran Yakubali Mapigo! Yaomba Mazungumzo na Marekani – Video
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook