Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Waziri Mkuu Aongoza Mkutano Kazi Wa Mawaziri, Manaibu Mawaziri

  • 39
Scroll Down To Discover

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameongoza mkutano kazi wa Mawaziri, Makatibu Wakuu na Viongozi Waandamizi wa Serikali uliofanyika Januari 21, 2026, katika Ukumbi wa Kambarage, Hazina, jijini Dodoma.

Katika mkutano huo, viongozi hao wamejadili utekelezaji wa masuala mbalimbali ya Serikali yanayolenga uwekezaji kwenye sekta ya umma na binafsi katika kuchochea maendeleo ya nchini.

MBOWE ATOA TAARIFA MUHIMU ya MAZISHI ya MTEI AELEZA NAFASI ya CHADEMA KWENYE KUONGOZA MAZISHI…

The post Waziri Mkuu Aongoza Mkutano Kazi Wa Mawaziri, Manaibu Mawaziri appeared first on Global Publishers.



Prev Post Trump Afungua Njia ya Makubaliano Kuhusu Greenland
Next Post PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO JANUARI 23, 2026
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook