

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa taarifa kuwa namba ya simu ya Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama hicho, Brenda Rupia, iliyokuwa ikitumika kupokea michango kwa ajili ya maadhimisho ya siku ya kuzaliwa kwa chama, imefungiwa na Kampuni ya Airtel Tanzania tangu Januari 19, 2026.

The post CHADEMA Yalalamikia Kufungiwa Namba ya Michango ya Brenda Rupia appeared first on Global Publishers.






Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!