Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Je Marekani itafanikiwa kumiliki Greenland? Katika Dira ya Dunia TV

  • 28
Scroll Down To Discover

Rais wa Marekani Donald Trump amewaambia viongozi katika mkutano wa kimataifa wa uchumi huko Davos, Uswizi kwamba Marekani pekee ndio taifa lenye uwezo wa kuilinda Greenland. Trump ameongezea kuwa kuimiliki Greenland haitakuwa tishio kwa NATO lakini anaamini kuwa itaimarisha usalama kwa muungano huo. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post Nafasi 100 za Ajira serikalini
Next Post Mbowe Atangaza Ratiba ya Mazishi ya Muasisi wa Chadema, Mzee Edwin Mtei – Video
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook