Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Uchaguzi Uganda 2026 Watu 7 wauawa katika ghasia. Katika Dira ya Dunia TV

  • 57
Scroll Down To Discover

Takriban Watu 7 wameuawa katika makabiliano kati ya maafisa wa usalama na wafuasi wa upinzani nchini Uganda, kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini humo. Ghasia hizo zimeripotiwa kutokea katika eneo la Butambala. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post OKELLO ANA MZUKA YANGA, AANZA KAZI GYM
Next Post PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO JANUARI 18, 2026
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook