Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Uchaguzi mkuu Uganda. Katikka Dira ya Dunia TV

  • 29
Scroll Down To Discover

Shughuli ya kuhesabu kura inaendelea nchini Uganda, baada ya raia wake milioni 21 kushiriki shughuli hiyo muhimu hii leo. Kinyang'anyiro cha Urais kimewavutia wagombea 8 akiwemo Rais wa sasa Yoweri Kaguta Museveni ambaye anawania muhula wa saba baada ya takriban miongo minne madarakani. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post Waziri Mkuu: Kazi zinazoweza kufanywa na wazawa wasipewe wageni
Next Post Uchaguzi Uganda 2026. Katika Dira ya Dunia TV
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook