Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Serikali ya Uganda yazima inteneti.Katika Dira ya Dunia TV

  • 22
Scroll Down To Discover

Tume ya Mawasiliano ya Uganda (UCC) imeamuru kufungwa kwa intaneti kwa umma kote nchini humo, huku taifa hilo likielekea katika uchaguzi Alhamisi ya wiki hii. Mapema wiki iliyopita, maafisa wakuu wa serikali walisema hakukuwa na mipango ya kufunga mtandao wakati wa uchaguzi mkuu. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post Mambo 10 Muhimu Aliyoyasema Waziri Makonda Alipokabidhiwa Ofisi
Next Post Dkt. Mwigulu: Kazi Zinazoweza Kufanywa Na Wazawa Zisifanywe Na Wageni
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook