Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Maandamano Marekani baada ya afisa wa uhamiaji kumuua mwanamke. Katika Dira ya Dunia TV

  • 25
Scroll Down To Discover

Wakaazi wa Minneapolis waliokuwa na hasira wamefanya maandamano baada ya afisa wa uhamiaji kumuua kwa kumpiga risasi mwanamke mmoja ambaye ni raia wa taifa hilo la Marekani. Renee Good mwenye umri wa miaka 37 alipigwa risasi kupitia kioo cha mbele cha gari lake. Rais Trump amesema Renee alikuwa amemkanyaga kwa gari afisa huyo wa uhamiaji lakini meya wa mji huo anasema kuwa afisa huyo alifanya hivyo kiholela na bila kujali. Mamia ya maafisa wa uhamiaji wametumwa Minneapolis katika juhudi za kupambana na uhamiaji haramu. #Minneapolis #Trump #ReneeGood #BBCSwahiliLeo #BBCSwahiliLeo #Trump Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post Fahamu Maisha Ya Manowari Ya Nyuklia Ya Marekani Na Silaha Nzito Inazobeba – Video
Next Post Waziri Kikwete Awatembelea Viongozi Wakuu Wa Kitaifa Wastaafu
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook